Mshukiwa Wa Mauaji Ya Agnes Tirop Aachiliwa Kwa Dhamana Youtube

mshukiwa Wa Mauaji Ya Agnes Tirop Aachiliwa Kwa Dhamana Youtube
mshukiwa Wa Mauaji Ya Agnes Tirop Aachiliwa Kwa Dhamana Youtube

Mshukiwa Wa Mauaji Ya Agnes Tirop Aachiliwa Kwa Dhamana Youtube Kesi ya mauji ya tiropmahakama ya eldoret imemuachilia ibrahim rotich mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanariadha agnes tirop kwa dhamana ya laki nne ama mdhamini. Mshukiwa wa ugaidi aliyekamatwa kwa tuhuma za kusafirisha vifaa vya kijeshi na vilipuzi vinavyoaminika kuwa vya wanamgambo wa alshaabab huko somalia, ameachi.

mshukiwa Katika Kesi ya agnes tirop aachiliwa kwa dhamana
mshukiwa Katika Kesi ya agnes tirop aachiliwa kwa dhamana

Mshukiwa Katika Kesi Ya Agnes Tirop Aachiliwa Kwa Dhamana Baada ya miaka miwili ya kupigania kuachiliwa kwake kwa dhamana, mahakama kuu ya eldoret mnamo jumatano ilimwachilia huru ibrahim rotich anayekabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe agnes tirop ambaye alikuwa mwanariadha wa kimataifa. rotich ameachiliwa kwa dhamana ya sh500,000 pesa taslimu au dhamana ya sh400,000 na mdhamini sawa. akitoa uamuzi. Ktn news live welcome to the 24 7 ktn kenya news channel on – your trusted source for the latest news and updates in kenya and beyond. stay informed. Mshukiwa anaye daiwa kumlaghai raia wa georgia zaidi ya ksh810 milioni katika kashfa ya dhahabu ghushi aachiliwa kwa bondi ya ksh1m. mshukiwa ambaye alikamatwa katika eneo la utawala, nairobi, kuhusiana kashfa ya dhahabu bandia aliyomlaghai raia wa georgia zaidi ya dola za kimarekani milioni 6 mnamo alhamisi, mei 2 alifikishwa mbele ya mahakama ya milimani. Hakuna dhamana kwa ibrahim rotich, mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanariadha wa kimataifa agnes tirop ambaye aliuawa kikatili mwaka 2021, mahakama ya eldoret imeamua. jaji wa mahakama kuu robert wananda ametoa uamuzi kwamba bw rotich atasalia rumande katika gereza la eldoret kwa siku 61 zijazo kusubiri uamuzi wa ombi la dhamana baada ya mahakama.

Comments are closed.